Waziri Mkuu aipongeza Bohari ya Dawa (MSD)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameipongeza Bohari ya Dawa(MSD) kwa wepesi na uharaka wa kufikisha dawa na vifaa tiba mkoani Morogoro kwa ajili ya kuwahudumia majeruhi wa janga la moto lililotokea jana mkoani humo.

MSD imeweza kufikisha dawa na vifaa walivyoomba huku timu ya MSD inayoongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Bw. Laurean Bwanakunu ikiendelea kuwa karibu na wataalamu wa afya mkoani humo kwa ajili ya kutoa ushirikiano pale inapohitajika.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu anaongoza timu ya Wizara hiyo, ikiwa na viongozi wakuu ambao ni Katibu Mkuu wa Afya Dkt. Zainab Chaula na Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Prof. Mohamed Kambi wanaofuatilia kwa karibu huduma na mahitaji yote yanayohitajika kwa majeruhi wa janga hilo la moto mkoani Morogoro.

Timu zote hizi ziko karibu na ofisi ya Waziri Mkuu, Kitengo cha Maafa kinachoongozwa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Walemavu, Vijana na Bunge, Jenister Mhagama.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad