Basilla Mwanukuzi awajibu wanaoponda Miss Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Muandaaji wa mashindano ya ulimbwende ya Miss Tanzania, Basilla Mwanukuzi amesema kuwa hajawahi kukutana na malalamiko yoyote katika mitandao ya kijamii yanayomlalamikia kuwa ni mtu asiyekubali kupokea ushauri.

Akizungumza na EATV & EA Radio Digital leo Septemba 28, 2019, Basilla amesema kuwa yeye haoni kama upo umuhimu wa watu kuendelea kulalamika kwenye mitandao ya kijamii na kwamba ni vigumu kumjibu kila mtu anayeandikia kwenye mtandao.

''Suala la watu kunilalamikia sijawahi kukutana nalo, ni jipya kabisa halafu kwanini watu wanapenda kulalamika na wanaoshauri sijui wanashauri nini mitandaoni. Unakutana na mtu hata akaunti yake haijulikani, bora hata angekuwa 'verified' unajua huyu ni mtu gani'', amesema Mwanukuzi.

Akimzungumzia mshindi wa Miss Tanzania 2019, Sylvia Sebastian, Mwanukuzi amewaomba watanzania kuendelea kutembelea mitandao yake ya kijamii na ku 'like' picha zake  ili aweze kufanikisha kunyakua taji la urembo wa dunia , mashindano ambayo yanatarajiwa  kufanyika nchini Uingereza.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad