Dogo Janja, Namtamani Sana Vee Money

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’ ameweka wazi mapenzi yake kwa mwanamuziki mwenziye Vannessa Mdee ‘Vee Money’ kuwa ndiyo mwanamuziki anayemtamani sana kufanya naye kolabo.

Akipiga stori na Risasi Vibes, Dogo Janja alisema kila mwanamuziki anaamini akifanya kazi na mwanamuziki fulani anajiachia na lazima mashabiki wafurahie basi kwa upande wake Vee Money ni namba moja.
“Ndoto yangu kubwa ni kufanya kazi na Vee Money, naona wazi tukifanya kazi kwanza tunaendana na pia anaweza kurahisisha kazi kwa sababu nitakuwa najiachia na kufanya kazi kwa uhuru. Naimani ndoto yangu ya kolabo naye itakamilika,” alisema Dogo Janja.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad