Fatma Karume ajibu tuhuma za kusimamishwa Uwakili, ‘Mimi bado wakili’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanasheria na wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amefunguka kuhusu uamuzi uliotolewa na Jaji Mkuu wa mahakama kuu nchini, Dr. Eliezer Feleshi juu ya kumsimamisha uwakili kwa kipindi cha muda usiojulikana kufuatia kesi aliyokuwa anaisimamia ya mteja wake Ado Shahibu aliyefungua shitaka dhidi ya Rais John Pombe Magufuli.

Fatma amelalamika kuwa hatua hizo zimechukuliwa bila kufuata taratibu kwani ilitakiwa kabla ya kufanyika kwa uamuzi huo alitakiwa aitwe na aweze kutoa sababu zake kwa nini asichukuliwe hatua.

”Nimesikia kwamba nimevuliwa uwakili mpaka pale anavyosema yeye jaji Feleshi, nimefutiwa kwa muda mpaka pale kesi yangu ikisikilizwa na advocate comittee, kuna tatizo kubwa na hiyo ‘order’ yake, huwezi ukatoa msitisho wa muda wakati kesi haijapelekwa mahakamani, hakuna mtu aliyenipeleka kwenye kamati, hajafuata taratibu za kisheria, Pia Kuna utaratibu mwingine lazima ufuatwe huwezi ukatoa order ya kumsitisha mtu bila ya kusikia upande wake, angeweza kuniita na anisikilize na au aniulize kwa nini aitoe order hii” amesema Fatma karume
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fatuma weeee, Fatu.
    Wachana na hili. Hii siyo Fani yako.
    Uliingia ki Ubabaishaji.

    Uwakili ni Fani ya Heshima na Ethics
    Jitathmini halafu ujiangalie je Sifa na Vigezo unavyo..??

    Usijininasabishe usipo paweza kitaaluma na Kijamii.

    Njoo tuanzishe Fashion boutique kama ya pale London Metro.

    ReplyDelete
  2. Fatuma weeee, Fatu.
    Wachana na hili. Hii siyo Fani yako.
    Uliingia ki Ubabaishaji.

    Uwakili ni Fani ya Heshima na Ethics
    Jitathmini halafu ujiangalie je Sifa na Vigezo unavyo..??

    Usijininasabishe usipo paweza kitaaluma na Kijamii.

    Njoo tuanzishe Fashion boutique kama ya pale London Metro.

    ReplyDelete
  3. Ado, kwa nini..?
    Huyu Bi Kizee mpaka nywele zinaanza
    kujibadilisha langi..!!

    Shaibu, kama ni kiki ya yule wa Uvira
    imeingia Fatty Esidi.

    Hata Kameliusi, anasema huyu Ajuza ni
    Bola akaanzisha masaji palo ni biashala nzuli na inalipa, au steshenali pia.

    ReplyDelete
  4. Kweli Shangazi, ilikuwaje ukawa mwana wakili na ukshindwa kujuaa Cap 341 and Adv Act cap 22..!!??

    Wewe Ulikuwa ni Magumashi.

    Au ni mbu mbubu mzungu wa Reli.
    Sia Amini. Kumbe. BOMUUUU....!!!!

    ReplyDelete
  5. Kweli Shangazi, ilikuwaje ukawa mwana wakili na ukshindwa kujuaa Cap 341 and Adv Act cap 22..!!??

    Wewe Ulikuwa ni Magumashi.

    Au ni mbu mbubu mzungu wa Reli.
    Sia Amini. Kumbe. BOMUUUU....!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad