Fatuma Karume "Mpaka Sasa Bado Natafakari Nataka Kuona Mahakama inakuwa Huru"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Fatuma Karume “ Mpaka sasa hivi natafakari lakini nataka mabadiliko, hilo I will never give up on (sitakata tamaa).Hatuwezi kuishi kwenye nchi ya dhulma kiasi hiki”.

“Nataka kuona Mahakama inakuwa huru, nataka kuona watu wakienda mahakamani waheshimiwe, wapate haki zao, pengine ni mambo mengi ya kuomba sijui” -Fatma Karume.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivyo Fatuma, Una Akili au..... Wa Mirembe

    "Hatuwezi kuishi kwenye nchi yenye Dhulma Kiasi Hiki" Je haya Maneno ni ya Kwajo au Umeambiwa au Umetumwa..???

    Fatuma Jitathimini na Ujitafakari na Utafakari unayo yasema ...!!

    Mimi nnavyo uelewa ni kwamba Haki ipo
    Na pia nnaelewa wewe na walio kama wewe
    Mpo na Hamjitambui. na wewe Umesha vurugwa vurugwa na kuharibiwa na Kuharibikiwa Kimwelekeo na Kifikra.

    Sas basi Ajuza Kama wewe ni Bora Ujipumzishe na Kupumzika. Usilo lijua Amini Hutoliweza ajili huna Kigezo cha kukufanya ulieze zaidi ya Kulifikiria.

    Sasa mimi nakupa Ushauri wa Bure.

    Sijui kama unaweza kujikimu na kuanzisha Maisha au kujijengea mazingira ya Asylum. Fanya Hivyo. Jamii hii yetu hujiwezi na inaelekea Huwezi Ku Blend Inn.

    Ni hasara kwetu na Kwako. Titathmini na Kauli zako za Ukosefu wa Adabu na Heshma!!! ULIOPINDUKIA.

    Vibaraka wanajulikana na Wasaliti Pia.
    Wewe Uko Wapi..??

    ReplyDelete

Top Post Ad