Justin Bieber Afunguka Mazito Kuhusu Maisha Yake "Madawa ya Kulevya Yampoteza"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanamuziki Justin Bieber amefunguka mazito kuhusu maisha kupitia ujumbe mrefu aliouandika katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram.

Katika post yake hiyo iliyopata likes zaidi ya Million 2 kwa masaa 8 yaliyopita, msanii huyo ameeleza mitihani na mikasa aliyoipitia katika kipindi cha ukuaji wake kwenye sanaa kiasi chakuanza kutumia madawa ya kulevya akiwa na umri wa miaka 19 tu kutokana na presha ya mkwanja aliokuwa akiumiliki na marafiki wabaya waliokuwa wakimrubuni kufanya mambo mabaya.

Bieber amesema katika yote amejifunza kuwa sio kila rafiki unapaswa kumkaribisha katika maisha yako lakini pia ni muhimu kuwa na nidhamu na kuheshimu watu wote lakini kubwa zaidi kumtegemea Mungu pia.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad