9/21/2019

Mama Ali Kiba Kavunja ndoa ya Mwanae? Alikiba KafungukaBado tuko kwenye headlines za Mwiimbaji wa Bongo Fleva, Alikiba ambae Sep 19, 2019 alifanya mahojiano kwenye kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM kinachoendeshwa na mtangazaji Diva kuelezea yale yanayoendelea mitandaoni kuhusu ndoa yake.

Hapa nimekusogezea Alikiba akizungumza kwa wanaosema Mama yake mzazi ndio chanzo cha matatizo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger