Mtalii afariki akiruka kwa Parachuti Mlima Kilimanjaro

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mtalii raia wa Canada, Justin Kyllo (51) amefariki baada ya Parachuti alilokuwa akitumia kuruka angani  kutoka kilele cha mlima Kilimanjaro nchini Tanzania kugoma kufunguka.

Kamishna msaidizi mwandamizi wa Hifadhi za Taifa (TANAPA), Pascal Shelutete amethibitisha kifo cha mtalii huyo, kwamba kimetokea katika kituo cha Stella Point kilichopo katika mlima huo.

Amesema mtalii huyo alifika Septemba 20 mwaka huu kwa ajili ya kupanda mlima, leo asubuhi alitumia Parachuti kwa ajili ya kuruka angani ili kushuka chini ya mlima lakini iligoma kufunguka na kusababisha kifo chake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad