Netanyahu akanusha taarifa inayodai Israel kuhusika na ujasusi dhidi ya Marekani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekanusha taarifa zinazodai kuwa nchi yake inaipeleleza Marekani .

Ripoti hiyo imeeleza kuwa maafisa watatu wazamani wa Marekani ambao wanasema kuwa Israel ilikuwa inahusika kuweka kifaa karibu na ikulu ya Marekani.

Lakini maelezo kutoka katika ofisi ya Netanyahu imekanusha kutohusika kwa namna yoyote.

"Israel ina majukumu mengi ya kuyafanyia kazi nchini mwake hivyo haiwezi kujihusisha na shughuli za ujasusi nchini Marekani."


Rais Donald Trump, aliulizwa na waandishi wa habari siku ya alhamisi kuhusu ripoti hiyo ya ujasusi naye alisema kuwa aamini kama Israel ilikuwa inaipeleleza Marekani .

"Inaniwia vigumu kuamini kuwa Israel wana tuchunguza kwa sababu tuna uhusiano mzuri," Rais Trump alisema.

alisema pia kuwa mwishoni mwa majadiliano ya mkataba wa nyuklia na viongozi wa Marekani wamekuwa wakipingana katika kuhamisha ubalozi wa Marekani katika mji wa Jerusalem.

"Siwezi kuamini hiyo stori, kila kitu kinawezekana lakini siamini."

Wasajili wa kimataifa wa simu za mkononi, ambao wanafahamika kama 'StingRays' waliripoti kuwa walipatikana katika maeneo karibu na makazi ya rais na maeneo mengine nyeti katika mji wa Washington DC wakati wa utawala wa Trump.

Vifaa hivyo vinafanana na simu za mkononi vilitumwa katika maeneo yao na kuweza kupata taarifa zote za simu zinazotumika katika eneo hilo.

Kuna vifaa viliripotiwa kuonekana karibu na White House
Afsa mmoja wa zamani alizungumza bila kutaja jina lake na kusema kuwa 'StingRays' ilitengenezwa kwa mfumo wa kufanya ujasusi dhidi ya rais Trump.
.

Shirika la kijasusi la FBI, linafanya uchunguzi ili kubaini vifaa hivyo vimetoka wapi.

" Jambo liko wazi kabisa kuwa Israel ilikuwa inahusika,"

Afisa huyo wa zamani masuala ya ujasusi alieleza.

Na kiongozi huyohuyo alikosoa uongozi wa Trump kuwa awajawajibika na ujasusi huo.

Nililazimishwa na Iran kuwa jasusi wa Israel
Licha ya Netanyahu kukanusha kuwa Israel haiipelelezi Marekani, miaka ya nyuma nchi hiyo iliwahi kufanya hivyo .

Mwaka 1980, mtafiti Jonathan Pollard kutoka Marekani aliandika nakala ya maelfu ya siri za Israel.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad