P Diddy Sasa Atarajia Mtoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

P Diddy sasa atarajia mtoto

BAADA ya kuibuka tetesi kisha ikawa kweli, hatimaye mkongwe katika gemu la Hip Hop kutoka Marekani, P Diddy (49) anatarajia kupata mtoto kwa mrembo, Lori Harvey (22).  Ishu ya mkongwe huyo kutarajia kupata mtoto imekuja siku chache baada ya wawili hao kunaswa mapumzikoni huko Cabo, Mexico



Katika picha mbalimbali zilizosambaa mitandaoni, zinamuonesha Lori akiwa ameshika tumbo lake kama vile anaonesha ujauzito na nyingine zikimuonesha P Diddy akiwa amelishika tumbo la Lori.



Mwezi uliopita P Diddy aliungana na familia ya Lori pamoja na kukutana na wazazi wake wakati wapo mapumziko nchini Italia
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad