PICHA: Kijana Anasa Kwenye Mwamba Mkubwa Wakati Akisaka Madini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kijana mwenye umri wa miaka 24 Elias Marwa mkazi wa mtaa Nyabisale kata ya Bweri Manispaa ya Musoma mkoa wa Mara amenasa kwenye mwamba mkubwa wa jiwe wakati akisaka madini

Vyombo vya ulinzi na usalama jeshi la wananchi, zima moto, uhamiaji na polisi kwa ushirikiano mkubwa wanahangaika kumnasua kwa kutoa mawe madogo madogo yaliyopo kwenye njia ya kuingilia.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad