Rais Magufuli Amesema Wanawake Siku Hizi Wanawalipia Mahari Wanaume

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rais Magufuli aliyasema hayo leo Ikulu jijini Dar es Salaam wakati alipokutana na Watendaji Kata wa nchini ili kujadiliana nao kero zinazowakabili ili zitatuliwe.

Mbali na wanawake kuwatolea mahari wanaume, Rais Magufuli amesema vijana wa siku hizi wanapenda wanawake wenye magari huo ndio ukweli.

“Ili mwana mama anapokwenda kazini kijana anabaki na gari kucheza nalo message sent,” amesema Rais.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad