Rostam wamponda Billnass kwa Nandy

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kundi la Rostam linaloundwa na Roma na Stamina, wanaotamba na wimbo unaoenda kwa jina la kijiwe nogwa wamefunguka kuwa Billnasi anapenda sana mapezi, kwenye video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii ikiwaonesha wakizungumzungumzia msanii huyo.

“Ni mdogo wangu ila ni ukweli kabisa, unajua hata sasa hivi waandaji wa show hawampigii simu Nenga ‘Billnass’ kumtaka kwenye show, huwa wanampigia Nandy na wanajua kabisa Billnass atamfuata nyuma kama sanamu” ameleeza Roma.

Billnass na Nandy wamekuwa wanatajwa sana siku za hivi karibuni kuwa wamerudiana japokuwa wenyewe wamekuwa wakikanusha kwenye baadhi ya mahojiano wanayofanya kwenye vyombo mbalimbali vya habari.

Aidha Roma na Stamina “Rostam” wameachia wimbo wao Audio na Video unaoitwa Kijewe Nongwa waliomshirikisha Nay Wa Mitego
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad