9/21/2019

Sabby Angel "Kuolewa Sio Uzuri, Elimu, Kujieshimu au Kuvaa Nguo Ndefu...Kuolewa ni Bahati"

“Hili Suala ambalo limetawala Jamii kuhusu wanawake walioolewa kuheshimiwa zaidi kuliko wanawake ambao hawajaolewa naliona sio sahihi kwani kuna wanawake walioolewa wasiojiheshimu wenye Vijitabia vya ovyo kuliko Baadhi ya wanawake ambao hawajaolewa ila wananidhamu na kujiheshimu.

Sio wote ambao hawajaolewa wanapenda, KUOLEWA NI MAJAALIWA WALA SIO UZURI, ELIMU, KUJIHESHIMU, AU KUJIFUNIKIZA NGUO NDEFU kuolewa ni Bahati tu.

Mwanamke asihukumiwe Heshima yake kutokana na her Marital Status sababu Wengi wameolewa tu basi ilimradi waonekane na kujikuta wanaingia kwenye Mateso na wanaume katili wenye roho mbaya hadi kupewa kilema cha kudumu.

Wanawake wengine wana tabia njema lakini hawaolewi kwasababu zilizo nje ya uwezo wao example ulemavu au ugumba wa kuzaliwa" amesema Sabby Angel aliyewahi kuolewa kisha kuikacha ndoa Kwa alichoeleza ni kuepuka manyanyaso yaliyopitiliza
TAZAMA ALICHOFANYA ROSA REE BAADA YA KUFUNGULIWA NA BASATA

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger