AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mmoja wa kiongozi wa kundi hilo Coy Mzungu amesema kuwa ” licha ya Martha kuwa mzazi mwenzake na msanii wa WCB Mbosso pia ameacha pengo kubwa kwenye Tasnia ya uchekeshaji jukwaani (stand up comedy) kutokana na uwezo wake wa kuchekesha watu kwamambo ya uswahilini.
”Martha alikuwa ni miongoni mwa wachekeshaji wanaofanya vizuri katika tasnia hii kwa upande wa wanawake kifo chake kitabaki kuwa kovu katika tasnia na kikundi, taratibu za mazishi zinafanyika yumbani kwao Tabata kimanga ambapo msiba upo” alisema Coy Mzungu
Aidha baadhi ya mastaa akiwemo Wolper, Nandy , Beka flevour, na wengine wengi wametuma salamu zao za pole kupitia mitanda ya kijamii kwa ndugu na marafiki wa marehemu Martha,
Aidha marehemu Martha alishawahi kushiriki kwenye baadhi ya kazi za wasanii wa bongo fleva alishiriki kwenye kwenye video ya Whozu ‘Roboti’ ilyotoka mwaka huu.
TAZAMA WIMBO MPYA WA ROSA REE
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK