Babu Tale atoa siri usiyoijua kati yake na Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Bw. Hamisi Shabani Taletale maarufu, Babu Tale ambaye ni mmoja wa mameneja wa mwanamuziki maarufu hapa nchini, Diamond Platnumz ameahidi mwakani kuanza ibada ya kwenda Umra na msanii huyo.

Kupitia Instagram, Meneja huyo ameeleza, "Tumeamua ikimpendeza Allah mwakani inshaAllah nasi tuanze ibada ya kwenda umra japo tuanze kujitengenezea kesho iliyobora kwa muumba wetu tutakapotangulia mbele za haki"
.
Hata hivyo, Meneja huyo alimalizia kwa kusema, "Mwenye kutaka jambo jema basi lifanyike kwa haraka kabla mawazo hayajabadilika"
.
Maana ya Umra (kwa mujibu wa dini ya Kiislamu): Umra kilugha ni Ziara, ama maana yake kisheria ni kuizuru nyumba takatifu (Alkaba) wakati wowote mtu anapotaka, kwa kutekeleza matendo ya ibada maalumu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad