AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi ambapo ameeleza uchaguzi huo ndio unawaleta viongozi wanaokwenda kutatua changamoto za wananchi hivyo kuacha serikali ifanye uamuzi ni kosa.
“Tunapaswa kuweka kando tofauti zetu, twendeni kwa wingi tukajiandikishe ili tushiriki kwenye uchaguzi huu muhimu,” amesema Mbowe
Ameendelea kwa kusema wananchi kusuasua kwenda kujiandikisha ni matokeo ya kile alichodai kuwa ni serikali kuweka msisitizo katika kuwazuia watu wa upinzani kufanya mikutano ya kisiasa.
“Ni makosa makubwa na aibu kususia. Kwa muda wa siku tatu zilizoongozwa, viongozi wote wa kada zote, wahamasishane watoke kwa wingi kwenda kujiandikisha, hatuna sababu za kususia kwani tutakuwa tumesusia maisha yetu,” amesisitiza Mbowe
“Tunakwenda kushiriki uchaguzi huu na tutashinda, hatutakuwa woga na haya ni mapambano ya kisiasa, tutatumia nguvu za umma kuhakikisha tunashinda uchaguzi huu.”
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Nimekuelewa mheshimiwa Mbowe lakini kwa mazingira ya kisiasa yalivyo ni ngumu vyama vya upinzani kushinda kwa sababu wasimamizi walishapewa maagizo ya kutowatangaza wapinzani hata wakishinda hiyo kauli imetukatisha tamaa wananchi, kususia siyo jambo zuri.
ReplyDelete