Happy Birthday Rais John Pombe Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo, Oktoba 29, 2019 Rais huyo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Joseph Magufuli anatimiza umri wa miaka 60.



Rais Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) alizaliwa Oktoba 29, 1959 Wilayani Chato Katika Mkoa wa Geita.



Uongozi na wafanyakazi wote wa Global Group tunakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa Rais Magufuli, uishi miaka mingi zaidi hapa duniani, Mwenyezi Mungu akupe afya, ulinzi na hekima ili uiongoze vyema Tanzania na watu wake kwa umoja, mshikamano, amani na maendeleo thabiti kwa vizazi vya leo na vijavyo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata mimi Nakutakia furaha ya siku yako ya kuzaliwa 'happy birthday to you Mr President'

    ReplyDelete
  2. Mzee Baba.
    Umuri ni Namba. Wewe kwa sasa kwa mtazamo wangu na Uchapa Kazi wako na Neurological Alertness which you have demonstrated and are enjoying. You are as good as 27 years Magu.

    Happyy birthday Kipenzi chetu. Inshalllah Allah akupe umuri tawile utunyooshee na kututumikia ukiwa na afya njema Ya Rab muhifadhi Magufuli wetu. Alhamishi baada ya Salat Ishaa
    tunakufanyia Fatiha na Dua. Wote mnakaribishwa umuombea kipenzi chetu
    misikiti yote na nyumbazote za Ibada.

    ReplyDelete

Top Post Ad