Kauli ya Mwana FA kuhusu video za Menina

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Neno 'Connection' limekuwa likiongelewa kila siku, hasa pale linapotokea tukio ambalo hushangaza watu na linalozungumzwa sana midomoni na kwenye mitandao ya kijamii.


Juzi kati zilizuka video na picha zisizo na maadili, zilizomuonesha Menina Tz akiwa mtupu, jambo ambalo lilipelekea akaitwa na Baraza la sanaa la Taifa (BASATA), kwa lengo la kuzungumza naye ili kujua undani wa picha na video hizo.

EATV & EA Radio Digital, ilimpata msanii na mfanyabiashara Mwana Fa, ambaye pia ni mjumbe wa bodi ya BASATA kwa nia ya kulitolea ufafanuzi  suala hilo.

“Sitaki swali hilo sijaziona kwanza hizo picha na sina 'connection'' amesema Mwana Fa.

Aidha Mwana Fa ameeleza  tukio lake la kukamilisha kupanda Mlima Kilimanjaro kwa kusema.

“Ilikuwa ngumu ila ni changamoto nzuri na kila mtanzania anatakiwa kuifanya katika maisha yake japo mara moja kwa sababu ina ugumu wake na ina ushujaa wake, kama umefanikiwa kuumaliza, kuna mahali ukitembea kila baada ya dakika 10 ilikuwa lazima ukae chini au unapanda kwa kutambaa” ameeleza Mwana Fa.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad