AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Msemaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema kwamba kila msemaji wa Timu anapaswa kusemea timu yake sio mpaka usemee Yanga huku dongo hilo likimuendea moja kwa moja msemaji wa Simba Haji Manara.
Manara amekua ni msemaji ambaye lazima atoe neno lake endapo yanga ikifungwa au kufanya vibaya katika mechi zao.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK