Lissu Apigilia Msumari Kugombea Urais 2020

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanasiasa na mwanasheria wa chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametilia mkazo nia yake ya kugombea urais 2020, endapo atapata wito kutoka kwa wananchi na chama chake kugombea nafasi hiyo.

Lissu ametoa msisitizo huo alipozungumza na chombo cha habari cha VoA, alipokuwa nchini Marekani na kueleza kipaombele chake endapo atapata nafasi hiyo.

Video: Nape achomoza kivingine, Lissu asisitiza kugombea Urais
” Nimeshatangaza utayari wangu wa kugombea nafasi hiyo nikiteuliwa na chama changu na ninarudia tena nikipata wito wa kugombea urais nitapokea wito huo.” amesema Lissu

Lissu ambaye yupo nje ya nchi tangu mwezi Septemba 7, mwaka juzi kwaajili ya matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi ameshikilia msimamo wake huo wa kugombea urais licha ya hivi karibuni kubainisha kuwa hatarejea nchini hadi hapo chama chake kitakapo mhakikishia usalama wake.

Wanafunzi watano wafa maji Morogoro
Ametaja malengo yake iwapo atafanikiwa kuteuliwa na chama chake kugombea urais, amesema atarejea upya mchakato wa kutengeneza katiba mpya ya wananchi ili kuwapatia wananchi katiba bora.

Lissu amekuwa Mbunge kwa vipindi viwili, alivuliwa ubunge wake mwaka huu kutokana na sabau ambazo spika wa bunge, Job Ndugai alizitoa za utoro bungeni na pia kutokujaza fomu za maadili ya watumishi wa umma ambazo hutakiwa kujazwa pia na wabunge wote.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. No komenti kwa Kilaza kama huyu.
    Mirembe ni Saizi yake.

    Lipia ada ya kadi ili uwe mwanachama hai na halali. mwenzako kaludi jimboni Hai baada ya chamani kumletea tashtiti
    uanachama wake unalega lega itakuwa wewe mtolo mpaka hspitali za Ughaibuni

    ReplyDelete

Top Post Ad