Mapya Yaibuka ! Tanasha Atibuliwa na Mobetto kwa Kufuma SMS zake Kwenye Simu ya Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tanasha, Hamissa Mobeto na fahyma

Kwa mujibu wa chanzo, hivi karibuni Baada ya Tanasha kujifungua walichuniana na Mond Baada ya Tanasha kudaiwa kufuma chats za Mobetto na Mond wakitaka kurudiana huku wakidaiwa kuahidiana kufunga ndoa. Fahyma ndie anadaiwa kuwa kuwadi wa Mobeto na Mond kwani Fahyma na Mobetto ni marafiki walioshibana kwa mujibu wa taarifa .

Fahyma pia ni rafiki wa karibu na Tanasha hivyo Tanasha alidaiwa kutofurahishwa na kumtaka Fahyma azungumze na Mobeto awe mbali na Diamond .

Fahyma alipoulizwa na gazeti la Risasi kuhusu issue hiyo amejibu .

"Unajua mimi siyo pikipiki Posta eeh? Halafu Diamond na Tanasha wanapendana jamani, hata kama wana matatizo ni yao wawili, mimi hawawezi kunitumia kama kipikipiki Posta kwa Hamisa. Kwanza, Tanasha hawezi kunituma, na mimi kufanya hivyo ni kitu ambacho hakiwezekani japokuwa ni kweli wote (Tanasha na Hamisa) ni rafiki zangu na mara nyingi nimekuwa nao sehemu mbalimbali. Lakini siwezi kuwa kuwadi wa mapenzi yao, nitakuwa nakosea sana. Kwa kifupi tu ni kwamba, Diamond na Tanasha hata kama wana matatizo, wanayamaliza wenyewe,” alisema fahyma .

Kwa upande wa Tanasha alipoulizwa na Risasi amesema

. “Sijali kuhusu uhusiano wake uliopita, ninaangalia nilipo sasa. Ninamuamini sana Diamond, kwa hiyo naomba hao wanaomfuatilia waache"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad