RAIS Magufuli Awapiga ‘Kijembe’ | “Walionitangulia Hawakufanya Haya | Hata Marekani Wanajua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Leo October 27, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amejiuliza swali kwa nini? ndege zinanunuliwa kipindi yeye akiwa madarakani na sio zamani kwa Viongozi waliomtangulia kauli aliyoitoa wakati akipokea ndege mpya.

VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Swali ni zuri na mahali pake.

    Jibu la ni Dogo na uzibiti ameweza Ngosha.

    Hewa ilikithiri nchini kwetu, na Madili madili kama ya, kina Rugemalira na wenzake mradi Hewa hewa ilikuwa ya kumwaga na isiye vuta tasaf/ makinikia/ mradi wa Radar/ ujezi wa maji / Amcos/ Aggreko.

    JPJM kaja na kaziba mianya yote

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni dhahiri Shahiri.
      Magu amethibiti na kuboresgha uukusanyaji kodi

      Delete
  2. Swali ni zuri na mahali pake.

    Jibu la ni Dogo na uzibiti ameweza Ngosha.

    Hewa ilikithiri nchini kwetu, na Madili madili kama ya, kina Rugemalira na wenzake mradi Hewa hewa ilikuwa ya kumwaga na isiye vuta tasaf/ makinikia/ mradi wa Radar/ ujezi wa maji / Amcos/ Aggreko.

    JPJM kaja na kaziba mianya yote

    ReplyDelete
    Replies
    1. Swadakta Magu ameweza.
      Aliiuchukua nchi Watumisshi Hewa
      Miradi Hewa, Wanafunzi Hewa,
      Pembejeo Hewa( Bashe ameshhasema zirudishwe) Mikopo Hewa.

      Na sasa kutokana na mAzingira haya ya Hewa Hewa amezuka mbunge HEWA UGHAIBUNI. Amesahau kuwa hii ni Awamu ya kuiziba mianya ya Hewa. ili tulete Dreamliner na bombadier na Bwawa la Nyerere tuendeshe SGR.

      MAGU UKO SAHIHI KABISA TUNAUNDAMELI ZIWA VICTOIA NA TANGANYIKA ..CHAPA KAZI BABA.

      Delete
  3. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

    Magu, nyeupe huita nyeupe na kinyume pia sahihi.

    Ifike mahali tuambize ukweli.

    Mzee Mwinyi ( Mchamungu ) Alisema na Namkariri^ Sisi Wote (Wastaafu), tumefanya yetu ( Kuongoza) Lakini Magufuli Kaleta TSUNAMI Karudisha (Nidhamu na Uwajibikaji).

    Wana Mitandao na Wana Habari mjue kuchagua Vichwa ambavyo si chonganishi

    Niliona KABUDI Alivyopata tabu ya kutoleweka na kuanza kuulizwa ya alichokuwa akizungumza . Yote ni kutokuwa na Umakini na usikivu na uelewa . Dkt Abbasi pia ana kazi na Waandishi.

    Mwakyembe itabidi Ulifanyie Kazi.

    Magu, pamoja sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad