Shilole: Rostam Wakileta Mimi Naweka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


WAKILETA naweka! Ndivyo aliyosema staa wa Muziki wa Mduara, Shilole ikiwa imepita wiki chache tangu itoke Ngoma ya Kijiwe Nongwa ya wakali Roma Mkatoliki na Stamina (Rostam) ambayo ndani yake wame-muimba.



Katika ngoma hiyo ambayo ni gumzo kwa sasa kila kona, Shilole ame-maindi kuimbwa tofauti pamoja na mumewe, Uchebe huku akiwaambia ni bora wangemshirikisha mapema.



“Malipo ni hapahapa, mbona wasanii wapo wengi kwa nini hawajawaimba? Mbona wameniimba mimi na mume wangu sana. Sasa wakati huu wameshajua kwamba dada hajapenda na ndiyo maana nimewapa sapraiz (ngoma yake mpya ya Sitaki Mazoea) tena nasikia wanamtafuta hadi kesho aliyeniandikia. Nawaambia tu wakileta mimi naweka, wao si wameanza, mimi namaliza,” alisema Shilole
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad