Taifa Stars Yarejea Nchini Yapewa Mapokezi ya Kibabe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania, (Wallace Karia) leo amewaongoza mashabiki wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kukipokea kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo Oktoba 10, 2019  Uwanja wa Kimataifa wa Julius Kambarage, Nyerere.

Mapokezi haya yamefanyika kutokana na Kufuzu Kushiriki Michauano ya CHAN inayotarajiwa kufanyika nchini Cameroon baada ya kuiondoa Sudan kwa kuifunga mabao 2-1 jana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad