TAKUKURU kumulika ujenzi machinjio ya Vingunguti

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU, mkoa wa Ilala imejipanga kufanya ufuatiliaji wa mradi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa Vingunguti, wenye thamani ya shilingi Bilioni 12 katika kipindi cha mwezi Oktoba hadi Desemba.

Hayo yamebainishwa na Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Ilala, Christopher Myava, alipokuwa anatoa taarifa kwa vyombo vya habari ya utendaji wa kazi kwa umma katika kipindi cha robo mwaka kuanzia mwezi Julai hadi Septemba na kubainisha mipango ya mwezi Oktoba hadi Disemba,… Bofya hapa kutazama.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mvaya, ingieni kazini wanaume, msimuonee mtu na ikidhihirika uhujumu au ulaji washughulikieni kisawa sawa.

    ReplyDelete
  2. Siyomradi huu tu.
    MIradi yote ya kimkakati.

    ReplyDelete
  3. Siyo mradi huu tu.
    MIradi yote ya kimkakati.
    Na ikiwezekana mjipango kila mikoa nch
    nzima tumsaidie Mh Raisi.

    Huu ndio uzalendo na perfomance tunayo tegemea. SIO MPAKA UAMBIWE FANYA.

    ReplyDelete
  4. Tena itakuwa Vizuri zaidi kuangalia tumefikia wapi.
    ujenzi wa barabara ya lami ya Katumba kwenda Mbambo mpaka Tukuyu.
    Na ile ya Kikusya kwenda Matema.

    Kumsaidia Mh Raisi ni Jukumu letu sisi wote. Wakurungenzi Ma DC and Ma RC and vyombeo vya Ulinzi na Usalama wakati wote.
    Hongera JPJM. Unaanza Kueleweka taratibu. na Kazi yako wanaiona.

    ReplyDelete

Top Post Ad