Dereva Mlevi Amewaparamia Wakina Mamam Watatu na Gari na Kuwaua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Watu 3 wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari ndogo kuacha njia na kuwaparamia eneo la Manchester Arusha, waliofariki ni akina mama ambao wanafanya biashara zao pembezoni mwa barabara hiyo “dereva alikuwa anaendesha akiwa amelewa sana”

VIDEO


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad