Ebitoke: Simtaki Tena Mlela, Fujo Zangu Zote Kuna Kitu Nataka Alete

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa vichekesho aliyepata umaarufu kupitia mtandao wa Instagram Anastazia Exavery maarufu kama Ebitoke jana alitamba kwenye kurasa mbalimbali za mtandao ya kijamii pamoja na kurasa mbalimbali za blogu hapa nchini walipoandika kufuatia tukio la kihistoria ambalo wanadada huyo alilifanya la kuvamia mkutano wa Yusuph Mlela ambaye anadaiwa kuwa aliwahi kutokana nae kimapenzi.

Ambapo Ebitoke alivamia na kufanya fujo kadhaa ikiwa pamoja na kumvamia mwanamke mpya anayedaiwa kuwa kwa sasa ndiye mpenzi mpya wa Yusuph Mlela.

 Ebitoke amesema kuwa tayari ameachana na Yusuph Mlela ila amefanya fujo hizo akidai kuwa kuna kitu chake kipo kwa Mlela ambapo akishakipata atacha kumsumbua.

”Nilikubali, ukikubali hauwezi ukapata shida, mi nilishakubali kuachana nae, lakini kuna kitu anakijua nataka ndio maaana nafanya hizi fujo, wala ata mi nishaachana nae sina shida nae, fujo zangu zote kuna kitu nataka alete, tuwe sawa tuwe na waashikaji kabisaa” amesema Ebitoke.

Pia ameongezea kuwa ana mambo mengi ambayo anayajua kuhusu Mlela na amesema kuwa akiamua kumchafua naweza kumchafua dunia nzima, ila hana haja ya kufanya hivyo zaidi ya kumtaka ampe hiko kitu chake ambacho anakihitaji kutoak kwake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni bora uangalie mambo yako, achana na huyo baharia.

    ReplyDelete
  2. Huo ndiyo uungwana siyo vizuri kuchafuana mitandaoni.

    ReplyDelete
  3. Kama ni penzi..limesitishwa kwa sasa.
    kama ni heela..zimesha liwa.
    Kama ni Kikii..Mmebugi Stepu.

    Tunaangoja Filemu yenu mpya.
    Basata Kauli yao ni Ipi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usikubali Ebitoke mpeleke kule baada ya kufungua RB KESHO!!

      Delete
  4. Kama ni penzi..limesitishwa kwa sasa.
    kama ni heela..zimesha liwa.
    Kama ni Kikii..Mmebugi Stepu.

    Tunaangoja Filemu yenu mpya.
    Basata Kauli yao ni Ipi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Itakuwaje Mlela umwachie huyu avuruge mkutano wako , kisa !!
      Lazima unampiga fulu stop.

      Delete

Top Post Ad