Mashabiki wa BSS Walalamika kijana Hamisi kutolewa kwenye mashindano..... Madam Rita Awajibu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 18, 2019 wafuatiliaji wa kipindi cha Bongo Stars Search wamechukizwa na kitendo cha mshiriki wa shindano hilo, Hamisi kutolewa kwenye kinyang’aro hicho.



Madam Rita amesema kuwa  kijana huyo, Bado yupo ila kasimamishwa kutokana na ishu za masomo na ataendelea kushiriki.

“Yupo sana tu he had to go do his exams za form four but yupo kambini,” Ameeleza Madam Rita kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwatuliza watazamaji wa shindano hilo.

Jana Hamisi alishindwa kuingia kwenye Top 20 ya washiriki ambao wameingia kambini na kujikuta akitolewa kwenye mashindano hayo, Huku majaji wakieleza kuwa endapo watazamaji wangependa kumuona Hamisi au washiriki wengine waliotolewa kwenye Top 10 watahitajika kumpigia kura mshiriki huyo au hao.

Washiriki wawili waliotolewa kwenye mashindano hayo, Watapata nafasi ya upendeleo kuingia kwenye fainali yaani Top 10 kwa kupigiwa kura.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad