11/19/2019

Mtandao wa Ngono wa PORNHUB Wakanusha Kuhusu Taarifa Hizi Kuhusu Mtoto wa T.I

Mtandao wa ngono "PornHub" umeibuka na kukanusha taarifa za kwamba imetoa ofa ya bilioni 2 za Kitanzania kwa binti wa rapper T.I. kufanya mapenzi na kupoteza usichana wake kwenye video na kisha kuwekwa kwenye mtandao wao.

Taarifa hiyo ilisambaa jana kwenye mitandao ya kijamii na kumfanya binti huyo Deyjah Harris kushambuliwa hadi kuzifuta akaunti zake za mitandao ya kijamii.

Binti huyo wa miaka 18, ameingia kwenye headlines za dunia baada ya baba yake mzazi, T.I. kuzungumza kwamba mara kwa mara huwa anampeleka binti yake huyo kwa daktari wa wanawake kumuangalia kama bado ana usichana wake.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger