Mwanafunzi Aliyefichwa Kufiwa Kwa Wazazi wake na Wadogo zake Awasili Nyumbani....Inauma sana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hatimaye Anna Zambi (16), binti aliyefiwa na wazazi wake wawili na ndugu zake watatu waliopata ajali wakati wakienda kwenye mahafali yake mkoani Kilimanjaro Oktoba 26, 2019 leo Jumamosi Novemba 16, 2019 amefahamishwa kuhusu vifo hivyo.

Amewasili nyumbani kwao Goba  Dar es Salaam saa 10.30 alfajiri akitokea shule ya Sekondari ya Mather Theresia of Calcuta baada ya kumaliza mtihani wa Taifa wa kidato cha nne ulioanza Novemba 4, 2019.

Wazazi wake,  Lingston Zambi na Winifrida Lyimo na wadogo zake watatu, Lulu, Andrew na Grace walikufa katika ajali hiyo baada ya gari walilokuwa kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha wilayani Handeni mkoani Tanga.

Baada ya vifo hivyo, Anna ambaye hakuelezwa chochote na hata alipomaliza mitihani yake pia hakuambiwa mpaka leo alipofika nyumbani na kupewa habari hizo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad