Napenda umbea wa moto, Wema kinara' - Shamsa Ford

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muigizaji na mfanyabiashara hapa nchini, Shamsa Ford, amesema kwenye suala la umbea mara nyingi hupendelea umbea wa moto moto na si ule unaotokea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram.

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, Shamsa Ford amesema mara nyingi akaapo na muigizaji mwenzake Aunty Ezekiel, huwa wanapenda kupiga umbea wa masuala yanayoendelea mjini na kwamba Wema Sepetu ndiye anayeongoza kwa kusema wenzake.

"Nikikaaga na Aunty tunachekaga tu mambo ya mjini yanayoendelea, tukiona watu wametendwa tunacheka na tunawateta ila muda mwingi ni vitu vya kuchekeshachekesha, ila hatutabiriki hata mtu akija akigeuza kisogo kidogo tu tunamsema, lakini Wema Sepetu ndiyo wa kwanza anayeongoza kusema wenzie"amesema Shamsa Ford.





----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad