Penzi la Esma, Petit la mwendokasi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


WANANZENGO wanasema eti wanandoa walioachana na kisha kurudiana, Esma na Petit safari hii penzi lao limekuwa na kasi kama ya mwendo kasi. “Yaani hii ni hatari, wenzetu utadhani ndiyo wamejuana leo kwa jinsi walivyofufua penzi lao, watu hatunywi maji mh! Hili penzi safari hii ni la mwendokasi,” alichangia mdau mmoja mtandaoni anayejiita Kidani.

Mbali na huyo, kurasa mbalimbali za wambea mitandaoni walichukua pichampya za wawili hao na kuzisambaza huku baadhi yao wakiwapongeza kwa kurushisha mahusiano yao na sasa walee vyema mtoto wao waliyempata kabla ya ndoa kuvunjika. Wawili hao waliachana, Petit akaoa mke mwingine lakini kwa sasa amemuacha na amerejesha majeshi kwa Esma


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad