"Walah Mtu Akisema Hali ni NGUMU Mbele Yangu Nampiga Vibao" - Shamsa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muigizaji wa BongoMovie Shamsa Ford, amesema anaweza kumpiga mtu vibao endapo kama atamwambia kwamba hali ya maisha ya sasa ni ngumu, kwa sababu yeye bado anaingiza pesa na haoni ugumu huo wa maisha.


Shamsa Ford amesema hivyo kupitia EATV & EA Radio Digital,  baada ya kuulizwa ni jambo gani ambalo  hawezi kuamini endapo ataambiwa na mtu yeyote.

"Jambo ambalo siwezi kuliamini kabisa ni pale  ukiniambia hali  ngumu nakukatalia, kwa sababu ninachokiona sasa hivi hali sio ngumu ukifanya kazi pesa zipo, ila kwa wale wanaopenda njia fupi, wanaojipatia pesa kwa njia ambayo siyo sahihi au rahisi ndiyo wanaona hali ni ngumu" amesema.

"Lakini mbona nikikaa dukani na kupambana naona pesa zinakuwepo, ukiniambia hali ni ngumu naweza kukupiga hata vibao ni uongo tu, labda wanasema hali ngumu kwa sababu wanashinda nyumbani hawataki kwenda kutafuta ila kama unatoka kutafuta hali siyo ngumu kabisa" ameongeza.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad