11/17/2019

Zamaradi Ajitolea Kumlea BINTI wa Shule Aliyefiwa na Wazazi Wake Wote
Zamaradi Mketema aguswa na kuamua kutaka kumsaidia mtoto huyo wa miaka 16 aliyemaliza kidato cha 4 mwaka huu ambaye amefiwa na wazazi wake wote pamoja na ndugu zake watatu kwa mpigo

"Sina Utajiri na bado sijafika, na najua nina matatizo mengi sana kama mwanadamu, lakini kutoka moyoni huyu mtoto kama hana watu wa kuishi nae na kama nitaruhusiwa na ndugu waliobaki NAOMBA NIJITOLEE NIMLEE KWANGU, KAMA NITARIDHIWA NA WAHUSIKA, najua kwasasa anahitaji watu zaidi kuliko kingine kwenye maisha yake, niko tayari kuwa huyo mtu, nitahangaika nae tu, kwa mwenye contact za wahusika aje DM, kama mzazi nimewaza angekuwa mwanangu aisee halafu nashindwa" ameandika Zamaradi
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger