DAR: Mwenyekiti wa Mtaa Aliyepita Bila Kupingwa Mbaroni Akituhumiwa Kuiba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwenyekiti wa Mtaa wa Changanyikeni, Kata ya Toangoma katika Wilaya ya Temeke kwa tiketi ya CCM, Suzanne (Dionisia) Kamugisha amekamatwa akidaiwa kuiba Tsh. 12,000,000/=

Inadaiwa juzi, mwanaye aliyeajiriwa katika Duka la Simu alikutwa na hasara ya Tsh. Milioni 12 alipohojiwa alimtaja Mama yake (Suzanne) kuchukua fedha hizo kwaajili ya Kampeni Uchaguzi wa Ndani wa Chama

Viongozi wa Kata hiyo (Diwani, Mtendaji wa Kata na Katibu Kata kupitia CCM) tangu asubuhi ya leo wanashughulikia kumtoa rumande bila mafanikio

Aidha, katika hatua nyingine inadaiwa Wananchi wa Mtaa huo wameanza kuhamasishana kupiga kura ya kutokuwa na imani naye kwenye Mkutano wa Mtaa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad