DEREVA wa Taxi Akutwa Amekufa Ndani ya Gari Lake Huku Akiwa Amefungwa Kamba Kiti cha Nyuma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Logalali Mollel mwenye umri wa miaka 23 ambaye ni Dereva taxi Mkazi wa Tengeru, Arusha amekutwa amefariki Dunia ndani ya Gari No. T.183 BAZ, aina ya Toyota Corola huku mwili wake ukiwa kiti cha nyuma cha abiria na gari hilo likiwa limetumbukia ndani ya Daraja la kwa Melai Mto themi.

Mwili wa marehemu umekutwa ukiwa na majeraha mbalimbali kwenye mwili na mikono ikiwa imefungwa waya, tukio limetokea katika maeneo ya Mtaa wa Elikiroa kata ya Lemara, Arusha.

Polisi Mkoani Arusha wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini wahusika waliotenda tukio hilo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad