GOOD NEWS: Waafrika kuingia Nigeria bila ‘stress’ ya Visa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari amesema kuanzia Januari 2020 wageni kutoka nchi za Afrika watakaoingia Nigeria watakata Visa wakiwa wameshaingia nchini humo tofauti na utaratibu wa sasa wa kupata Visa kabla ya safari.

Njia hii huwenda itarahisisha raia watokao Barani Afrika kuweza kuingia katika nchi hiyo yenye idadi kubwa ya watu pasipo.


Katika mabadiliko makubwa yanayo husu sera za Visa, Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametangaza nchi hiyo itanzaa kutoa Visa kwa raia wote wanaotoka Mataifa ya Afrika watakao ingia.



Buhari ameyasema hayo akiwa kwenye mkutano nchini Misri. Endapo wazo hilo litatekelezwa basi huwenda litasaidia kushinikiza kwa Mataifa mengine kuiga mfano huo
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad