Jimbo la Amber Rutty Lipo Wazi Huku..Abwagana na Aliyemfukunyua...Atafuta DANGA Jipya..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii na video vixen Bongo Amber Rutty, ametangaza kutokuwa kwenye mahusiano tena, sasa hivi yupo "single",  na ameachana na aliyekuwa mpenzi wake aitwaye Said Bakary.


Amber Rutty ametangaza hivyo kupitia "Status" za mtandao wa kijamii wa WhatsApp na Instagram ambapo ameandika,

"Hongera zao walio olewa jamani duuh, kama ndoa zenyewe ndiyo hivi nimeshindwa, kumbe wanaodanga wanajua wanachokifanya kina maana gani loh, ebu nipumue zangu na mimi nipate danga jipya mjino, Mungu atanionyesha  njia sahihi Inshalaah" ameandika Amber Rutty.

Wawili hao walikuwa kwenye ndoa kwa Mwaka mmoja na walianza mahusiano yao miaka 6 iliyopita.

Mara ya mwisho kufanya mahojiano na EATV & EA Radio Digital waliahidi kama hawataachana na walisema bado wanaendelea kumtafuta mtu ambaye aliyevujisha video zao zilizokosa maadili, ambazo ziliwafanya kuwekwa ndani na kupandishwa mahakamani.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad