Mama Amuua Mwanaye Kisa Anajishirikisha Kwenye Vitendo vya Ushoga...Ahukumiwa Miaka 25

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Pichani mwanamke huyo wa nchini Brazil kwa jina la Tatiana Pereira amehukumiwa jela miaka 25 na miezi nane kwa kumuua makusudi mwanae huyo wa kiume pichani kwa jina la Lozano(17) kisa ni shoga ambapo hakupendezwa na sexuality ya mwanae huyo

Awali, mwanamke huyo aliwakodi jamaa wawili kwa majina ya Victor da Silva na Miller da Silva Barissa ili wamuue mwanae huyo. Jamaa hao(thugs) walimshushia kichapo kijana huyo hata hivyo walighairi kumuua ambapo mama mtu kuona hivyo alimua kuingia mwenyewe mzigoni kummaliza kumtoa uhai mwanae

Akiwa Mahakamani mwanamke huyo amekiri kuua, lakini amepinga kumuua mwanae sababu ya kuwa shoga kwa kudai mwanae huyo alimtishia kumuua ndipo akamuwahi yeye

Hata hivyo, Daria, baba mdogo/mkubwa wa Lozano akihojiwa na kituo cha TV nchini humo amempinga shemeji yake huyo kwa kusema, Lozano alikuwa ni kijana mpole, mwenye heshima na msikivu pia tayari alikuwa anafanya kazi, isipokuwa tatizo lake ni hiyo sexuality yake na siku zote mama mtu hakupendezwa na ndio sababu ya kumuua

Kwa upande mwingine jamaa waliokodishwa kumuua wao wamehukumiwa jela miaka 21 na miezi nane
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad