Mchungaji Mbaroni Kwa Kuwanywesha Waumini Dawa ya Kujichubua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mchungaji Sam Little (25) raia wa Uingereza amekamatwa nchini Uganda kwa tuhuma za kuwanywesha waumini dawa ya kujichubua na kuwaaminisha kuwa ni tiba ya miujiza inayotibu Malaria, Saratani na UKIMWI

Mchungaji huyo wa Kanisa la Global Healing Christian Missions alikamatwa baada ya gazeti la Guardian la Uingereza kufichua namna Little alivyokuwa anashirikiana na Mchungaji Robert Baldwin kutoka Marekani kusambaza dawa hiyo iliyopewa jina MMS

Mbali na Mchungaji huyo, pia walikamatwa raia wawili wa Uganda ambao walikuwa wakishirikiana naye kuwanywesha waumini dawa hiyo ambayo tangu mwaka 2010 ilikwishapigwa marufuku na Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kuwa ni sumu
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad