MO Dewji Kuja na Mpango Kabambe Kwa Mashabiki wa Simba SC

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Simba Mwina Kaduguda, ameweka wazi kuwa mwekezaji wa klabu hiyo Mohammed Dewji ameahidi kuwapokesha Bajaj na Pikipiki mashabiki wa Simba ili waongeze kipato.

Ameyasema hayo leo mbele ya wanachama wa Simba waliojitokeza kwenye uwanja wa Bunju kwa lengo la kujionea baada ya awamu ya kwanza ya ujenzi kukamilila.

“Mwenyekiti wa Bodi, Mohammed Dewji ameahidi kukopesha bajaj na pikipiki ili kusaidia matawi kwa wanaopenda kujishughulisha na hilo halipo kwenye sehemu ya pesa ambayo anatoa.”- Kaimu Mwenyekiti, Mwina Kaduguda.

Naye nahodha wa klabu hiyo John Bocco kwa niaba ya wachezaji, ameushukuru uongozi wa Simba kwa kujenga viwanja hivyo ambayo vitatumika kwa ajili ya mazoezi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad