'Nay ni Shabiki Wangu Kwenye Status' za Whats App - Ali Kiba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mfalme wa BongoFleva Ali Kiba, amemtaja msanii Nay wa Mitego, kama shabiki yake namba moja kwenye upande wa kuangalia picha na video anazoweka kwenye mtandao wa Whatsapp.


Ali Kiba amesema hilo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, wakati anatambulisha wimbo mpya wa msanii wake Killy kutoka kundi la Kings Music, uitwao Gubu, ambapo aliulizwa kuhusu uwezekano wa Nay wa Mitego kuwepo kwenye tour yake ya AliKibaUnforgettable Tour kwa Mkoa unaofuata.

"Kwa bahati nzuri Nay huwa nachati naye kila wakati, yaani katika mashabiki zangu wanaopenda  kuangalia status yeye namba moja, huwa tunawasiliana sana akipata nafasi huwa ananicheki na vilevile tumelizungumza hilo suala, lakini ratiba zake kidogo zimebana kwenye safari ya Iringa, ila safari ijayo atatia mguu" ameeleza Ali Kiba.

  Aidha Ali Kiba ametangaza Mkoa wa Iringa, kama ndiyo utafuata kwenye kufanya ziara yake ya kimuziki na kwamba safari hii msanii Christian Bella ni miongoni mwa wasanii watakaoenda kushambulia jukwaa mkoani humo
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad