Nyangumi Akutwa na Kilo 100 za Uchafu Baada ya Kufa Pembeni ya Bahari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nyangumi mmoja amekutwa na kilo 100 za uchafu tumboni mwake punde baada ya kufariki hii leo.

Baadhi ya uchafu waliokuta ni pamoja na nyavu za kuvulia samaki, kamba za kufungia mizigo, mifuko na vikombe vya plastiki.

Wataalam wa maswala ya viumbe hai Uskochi🏴󠁧󠁢wamesema bado hawana uhakika kama uchafu huo umechangia kwa kiasi kikubwa kifo chake.

Lakini wanaharakati wa mazingira wamekemea uchafuzi wa mazingira kuwa sababu ya vifo vya viumbe hai.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad