VIDEO: Alikiba Amjibu Manara Baada ya Kusema Lazima Waperfom Jukwaa Moja na Diamond Siku ya Harusi yake “Atakuwa Aliongea Akiwa Hajielewi”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba ametoa majibu kuhusu kauli iliyotolewa na msemaji wa klabu ya Simba Haji Sunday Manara kuwa aiku ya harusi yake lazima Alikiba na Diamond Platnumz waperform jukwaa moja yaani mmoja akiimba anashuka na mwingine anapanda kuimba.


Majibu ya kauli hiyo yametolewa na Alikiba katika moja ya Interview aliyofanya na kituo cha East Afric Redio alipoulizwa kuwa kauli hiyo anaizungumziaje na kusema

“Atakuwa aliongea akiwa hajielewi” Alikiba aliongeza k” Kwa kuwa ni harusi ya dini basi iende kidini dini lakini pia yule ni mwalimu wangu wa madrasa kwahiyo alete madufu pale watu wapige madufu hata mimi mwenyewe ntapiga dufu”
VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad