VIDEO: Diamond na Rayvanny walivyowatibulia Yanga uwanja wa Sokoine Mbeya/ Ni tope tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Hali ya uwanja wa Sokoine Mbeya imeonekana kutokuwa nzuri katika eneo la kuchezea hasa mara baada ya usiku wa kuamkia leo kufanyika tamasha kubwa la msanii wa Bongo Fleva Rayvanny akiwa na diamond Platnumz katika uwanja huo. Hali hiyo mbaya ya uwanja huo imepelekea Bodi ya Ligi kuahirisha mchezo wa Prisons na Yanga ambao ulitakiwa kuchezwa Ijumaa ya kesho na utapangiwa tarehe nyingine.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad