Wanawake Kumbukeni na 'IKULU' Zenu Kinyume Chake Mtaachwa Kila Siku...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kujiremba jirembeni na uzuri kuweni nao. Mashauzi tuleteeni na kutusumbua ongezeni. Saluni msikose na wa natural wasiishe. Vaeni vizuri na mtembee na muongee kwa maringo.Lakini msizisahau ikulu zenu. Wengi wenu huzisahau sana sehemu zao.

Inafikia wakati zinatoa harufu kama kafa panya au umezibua choo. Uzuri wa mwanamke ni huko ndani. Si vinginevyo mabinti nyinyi. Ziosheni ikulu zenu mara kwa mara hasa mnapokwenda haja au kufanya mapenzi. Msiingize chochote huko zaidi ya Abdala kichwawazi. Kinyume chake ni majanga. Na mtaachwa kila siku hadi mbadilike.

Nimewaacha watatu kwa sababu hiyo.Siwezi kukaa na mchafu tena wa sehemu muhimu kwake na kwangu. Afadhali leo nimewaambieni nami nitapata utulivu moyoni mwangu.
Ujumbe huu ni kwa wanawake wote

By Sonda
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya tumesikia

    ReplyDelete
  2. safi sana ni vizuri kulezana ukweli japo unauma wengi hawajui kujisafisha tunakushukuru mdau tutajirekebisha hakyanani.

    ReplyDelete
  3. Hata nyie pia mnazo ikulu between your lap pia mzisafishe nazo huwa zina****.

    ReplyDelete

Top Post Ad