Zitto Kabwe na ACT Wazalendo Wahuzunishwa na Kitendo cha Sumaye Kupumzika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sisi kama chama tumehuzunishwa na uamuzi wa Sumaye kupumzika Siasa. Ilikuwa ni tunu katika upinzani kuwa na Waziri Mkuu Mstaafu katika ngazi zake za Uongozi. Bila shaka tutachota maarifa na uzoefu wake kama mwenyewe alivyoruhusu. Tunaheshimu na kuthamini Wastaafu ....Ameyasema Hayo Zittokabwe
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata ndani ya hivyo naona kama hakuna demokrasia ya kweli maana kama chama kinakosa demokrasia hata kikishika nchi hakiwezi kujenga mfumo wa demokrasia ulio wa haki.

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa Sumaye aliipenda Chadema kwa dhati lakini tumemvunja moyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad