Askari Aliezama Motoni na Matukio ya Hatari “Dar ingekufa, Nimejitoa Kafara, Niliokota Jicho, Ubongo” (+video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tumefanya mahojiano na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Tanzania, Wilson Mwageni alieonyesha ushujaa baada ya kufanya kitendo cha kijasiri cha kuingia kwenye eneo la matanki ya mafuta yanayowaka moto na kufanikiwa kufunga velve ya mafuta.

SGT. Mwageni anatuelezea hali ilivyokuwa siku anajitoa mhanga kwenda kuzima kufunga valve lakini pia anatuweka wazi matukio mengine aliyowahi kuyafanya.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad