Diva Nampenda Sana ALI Kiba "Naweza Pigwa Bomu Kwa Ajili yake...Anaruhusiwa Kuoa Wake Wanne"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji Maarufu Star wa Cloudsfm Radio Diva amefunguka Dai la Baadhi ya Team Diamond Kusema Kuwa Alikiba ana Mke (ambae inasemekana wametalakiana) na aache shobo za Kumpost , amekaa na kufunguka ya kuwa ' Alikiba Anampenda sana na ataendelea Kumpost tu' hakuishia hapo pia kupitia XXL week iliopita Mtangazaji huyo alieenda Kuachia Ngoma yake na wanamuziki wa Brick n Lace Na Singah wanaijeria alisikika akisema ' I love Alikiba alot he knows it ' akarudia He is a Good Guy .. al forever support him ,

Amekaa na kukiri Pia yeye ni namba one fan wa Msanii huyo ride or die and anaeza ata akapigwa bomu kwa ajili yake akafa ameelezea kwa kucheka sentence hio al catch a grenade for him and die for him no worries.

angalia akifunguka maisha yake hapa kwenye The Playlist Na Lil Ommy
Diva ameachia kazi aliomshirikisha Killy from Kings Music Brick n Lace Nyanda na Singah from Nigeria na kazi hio kuzungumziwa africa baadhi ya media kubwa ikiwemo Mtvnaija kama ngoma bora ya Mapenzi kwa mwaka 2020 January Hii, Huyu apa Diva mtoto mrembo na Mzuri wa sura

VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad